• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Ukaguzi wa Ndani

UTANGULIZI

Kitengo  cha  ukaguzi wa ndani kinafanya kazi kwa mujibu wa ibara ya 13 (1-2)  na Ibara 14(1-10) ya Memoranda ya fedha ya Serikali za Mitaa (Local Financial memorandum),na mwongozo wa Ukaguzi wa Ndani wa Serikali za Mitaa (Local Government Internal Audit Manual) ya Mwaka 2005 (Marekebisho ya 2013).

SHUGHULI ZA UKAGUZI WA NDANI

Malengo  makubwa ya kufanya ukaguzi wa ndani ni kuwezesha kitengo cha ukaguzi      

kutoa ripoti kwa Mkurugenzi Mtendaji (W),kubaini na kuzuia kutoendana na taratibu hasa kwa:

i.Kujiridhisha kama mahesabu yalifanyika kwa kufuata Sheria, Kanuni za fedha za umma na yaliingizwa vizuri katika vitabu vya fedha ili kurahisisha uandaaji wa taarifa za mwisho za mwaka wa fedha unaoishia 2015/2016.

ii.Kubaini kama mapato yanayotakiwa kukusanywa yanakusanywa na yame benkiwa na yametumika kwa kazi ambazo zilitengwa katika bajeti kwa kufuata kanuni za kifedha zilizowekwa.

iii.Kuangalia kama viambatisho halali vya malipo, kumbukumbu na akaunti zote za Halmashauri zimetunzwa vizuri.

iv.Kuhakiki kama huduma na bidhaa zilizonunuliwa zilifanyika kwa kufuata kanuni na taratibu  zilizowekwa.

v.Kuhakiki  fedha zilizopelekwa kwenye miradi kama zimefika na ziliingizwa kwenye daftari la fedha na kutumika kama ilivyokusudiwa. 

vi.Kuhakiki vifaa vya ujenzi vilivyonunuliwa na kupelekwa eneo la ujenzi  kama vilifika na viliingizwa kwenye daftari la vifaa.

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo December 18, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Tanzania Bara December 18, 2020
  • Tangazo Kwa Wafanyabiashara Wote Wilayani Kalambo Kulipa Vibali Vya Kununua Mazao. July 25, 2019
  • Tangazo La Wadaiwa Sugu Wa Kodi Ya Aridhi Viwanja na Mashamba. October 23, 2019
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Kalambo Yazindua Ligi Ya Michezo.

    April 12, 2021
  • Halmashauri Ya Kalambo Yapata Hati Safi Kwa Miaka 5 Mfululizo.

    April 09, 2021
  • Wananchi wa Kijiji Cha Matai Asilia Wajitolea Kujenga Vyumba 4 Vya Madarasa.

    April 08, 2021
  • Philip Mpango aidhinishwa kuwa Makamu wa Rais Tanzania.

    March 30, 2021
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • TEHAMA

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.