• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Maji

SEKTA YA MAJI

Idara ya Maji ipo kwa mujibu wa muundo wa Utumishi ikiwa na jukumu kubwa la kutoa huduma ya maji kwa wakazi wa Wilaya ya Kalambo. Pamoja na jukumu la kutoa huduma ya maji Idara inahusika na kupanga na kusanifu miradi ya maji, kupitia usanifu wa miradi ya maji unaofanywa na wataalam wa nje, kusimamia ujenzi na uendeshaji wa miradi ya maji pamoja na kukarabati miradi ya maji yenye hitilafu. Idara pia inahusika na kuunda na kusimamia vyombo vya watumiaji maji

Malengo/Majukumu ya Idara ya Maji

1. Kuandaa bajeti ya kutekeleza miradi ya maji na kusimamia utekelezaji wa miradi hiyo

2. Kutoa huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa Wilaya wasiopata huduma ya maji.

3. Kupunguza na kuzuia milipuko ya magonjwa yanayosababishwa na ukosefu wa maji safi na salama

4. Kusimamia vyema miradi inayofanya kazi kwa kusisitiza vyombo vya kusimamia

Upatikanaji wa huduma ya maji

Wilaya ina visima vifupi 14 vinavyofanyakazi na 25 visivyofanyakazi, visima virefu 68 vinavyofanyakazi na 63 visivyofanya kazi, miradi ya bomba ya mtiririko 8 inayofanya kazi na 4 isiyofanyakazi, miradi miwili ya maji ya kusukuma kwa mashine chemichemi zilizohifadhiwa 10 na miundombinu ya kuvuna maji ya mvua katika taasisi mbalimbali. Aidha miradi yote tajwa hapo juu ina jumla ya vituo 463 ambapo vituo 316 vinafanyakazi vinakadiria kuhudumia wananchi wapatao 96,200.

Wilaya ya Kalambo inatekeleza Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Maji kwa mpango wa vijiji 10 na vijiji vya nyongeza yaani vya Quickwins. 

 

Miradi iliyotekelezwa kupitia Miradi ya maendeleo ya maji ni.

  • Mradi wa maji wa Mserereko wa Matai. Mradi huu umekamilika japo vituo vinne havitoi maji.
  • Mradi wa maji ya kisima wa kijiji cha Mwimbi; mradi huu upo hatua za ukamilishaji, marekebisho katika tenki la maji yanafanyika
  • Mradi wa maji ya mserereko wa kijiji cha Kisumba; mradi huu umekamilika na unatoa huduma.
  • Mradi wa maji Kasanga; Mradi huu umekamilika na unatoa huduma. Changamoto ni maji kutofika kwa baadhi ya siku katika vituo 2 katika kitongoji cha songambele
  • Mradi wa maji wa Kamawe; mradi huu umekamilika na wananchi wanapata huduma ya maji
  • Mradi wa maji wa Mwazye. Mradi huu umekamilika kwa ujenzi wa tenki, Miundombinu ya kutawanyia maji na vituo vya kuchotea maji. Mradi huu upo katika hatua ya kubadilisha usanifu kutoka katika ukarabati wa chanzo kilichopo kwenda chanzo kipya kutokana na chanzo hicho kuchafuliwa na mifugo pamoja na binadamu kutengeneza njia ya kwenda katika vijiji vya pembezoni

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo December 18, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Tanzania Bara December 18, 2020
  • Tangazo Kwa Wafanyabiashara Wote Wilayani Kalambo Kulipa Vibali Vya Kununua Mazao. July 25, 2019
  • Tangazo La Wadaiwa Sugu Wa Kodi Ya Aridhi Viwanja na Mashamba. October 23, 2019
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Ukaguzi wa Dawa kwenye vituo vya kutolea Huduma – Rukwa

    January 15, 2021
  • Madiwani Wilayani Kalambo Waapa Kumaliza Upungufu Wa Vyumba Vya Madarasa.

    January 10, 2021
  • Naibu Waziri Wa Afya Akiri Kuwepo Kwa Changamoto Ya Bima Ya Afya

    January 06, 2021
  • NFRA Wajipange Kununua Mahindi Mengi Kwa Wakulima.

    January 02, 2021
  • Tazama Zaidi

Video

LIVE: Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • TEHAMA

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.