• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Mazingira

UTANGULIZI

Idara ya Mazingira na udhibiti wa taka ngumu ni miongoni mwa Idara zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo. Idara hii bado ina mtumishi mmoja tu ambaye ni Kaimu Mkuu wa Idara. Katika hali ya kawaida Idara hii inatakiwa kuwa na Maafisa Afya Mazingira, Maafisa Mazingira na Wahudumu wa usafi lakini kwa sasa  Idara hii haina watumishi hao. Hata hivyo Idara hii imekuwa ikifanya kazi kwa kushirikiana  na Maafisa Afya waliopo katika  Idara ya Afya. 


Majukumu ya Idara ya Mazingira na udhibiti wa taka ngumu ni haya yafuatayo:-

•Kusimamia usalama wa maji 

•Kusimamia usalama wa vyakula 

•Udhibiti taka ( Taka ngumu ) 

•Udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza 

•Kusimamia ujenzi wa ubora wa nyumba 

•Udhibiti wa uchafuzi wa hali ya hewa 

•Usalama wa Afya kazini 

•Usalama wa Afya bandarini, mipakani na viwanja vya ndege 

•Utoaji wa elimu ya afya ya mazingira na usafi ( Health sanitation and Hygiene Education ) 

•Ukaguzi wa afya ya mazingira 

•Kufanya utafiti wa kina mara kwa mara kubaini vyanzo vya uchafuzi wa mazingira na athari zake

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo December 18, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Tanzania Bara December 18, 2020
  • Tangazo Kwa Wafanyabiashara Wote Wilayani Kalambo Kulipa Vibali Vya Kununua Mazao. July 25, 2019
  • Tangazo La Wadaiwa Sugu Wa Kodi Ya Aridhi Viwanja na Mashamba. October 23, 2019
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Ukaguzi wa Dawa kwenye vituo vya kutolea Huduma – Rukwa

    January 15, 2021
  • Madiwani Wilayani Kalambo Waapa Kumaliza Upungufu Wa Vyumba Vya Madarasa.

    January 10, 2021
  • Naibu Waziri Wa Afya Akiri Kuwepo Kwa Changamoto Ya Bima Ya Afya

    January 06, 2021
  • NFRA Wajipange Kununua Mahindi Mengi Kwa Wakulima.

    January 02, 2021
  • Tazama Zaidi

Video

LIVE: Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • TEHAMA

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.