• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Mawasiliono Ya Barabara Katika Kata Ya Ulumi Yakatika Baada Ya Daraja Kusombwa Na Maji.

Posted on: February 21st, 2021

Daraja la Kale lililopo katika kata ya Ulumi linalounganisha vijiji 11 vya kata 3 za wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa limesombwa na maji kufuatia mvua kubwa ilionyesha katika maeneo hayo na kusababisha kukatika kwa mawasilino ya barabara.

Wananchi katika maeneo hayo wamesema daraja hilo linaunganisha vijiji 11 kutoka kata za Ulumi,Mambwekenya na Mnamba na kuelezea kuwa ili kuyafikia maeneo hayo ni lazima upitie na kuvuka kwenye daraja hilo na kuiomba serikali kuharakisha ujenzi wa daraja  hilo.

 Meneja wa TANROAD mkoani Rukwa Mhandis Mgeni Mwanga , alisema serikali imeanza jitihada za kuusafisha mto huo na kuweka mawe lengo likiwa ni kuweka kivuko cha muda wakati wakisubiri bajeti ya daraja kubwa kujengwa kwenye mto huo.

Aidha aliwasisitiza wananchi kuendelea kuwa watulivu wakati serikali ikiendelea kufanya jitihada za makusudi za  kujenga kivuko hicho.

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo December 18, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Tanzania Bara December 18, 2020
  • Tangazo Kwa Wafanyabiashara Wote Wilayani Kalambo Kulipa Vibali Vya Kununua Mazao. July 25, 2019
  • Tangazo La Wadaiwa Sugu Wa Kodi Ya Aridhi Viwanja na Mashamba. October 23, 2019
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Mawasiliono Ya Barabara Katika Kata Ya Ulumi Yakatika Baada Ya Daraja Kusombwa Na Maji.

    February 21, 2021
  • Rias Magufuli: Unaweza ukafa kwa malaria, unaweza ukafa kwa kansa, ukafa kwa magonjwa mengine

    February 19, 2021
  • Watendaji 93 Kukamatwa Kwa Kula Fedha Za Serikali.

    February 12, 2021
  • Dc Atoa Siku 14 Watumishi Wanaoishi Sumbawanga Kuhamia Kalambo

    February 05, 2021
  • Tazama Zaidi

Video

LIVE: Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • TEHAMA

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.