Posted on: January 2nd, 2024
Mkuu wa wilaya ya kalambo mkoani Rukwa Lazaro Komba amewataka Wananchi wilayani humo kuzingatia matumizi sahihi ya uhifadhi mazao ya nafaka ikiwemo kutumia teknolojia mpya ya uhifadhi kwa mifuko ya ki...
Posted on: December 30th, 2023
Naibu katibu mkuu ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia miundombinu mhandisi Logatus Mativila amemwagiza meneja wa TARURA mkoani Rukwa kuharakisha ujenzi wa daraja la Mto Kalambo ambalo ujenzi wake ...
Posted on: December 27th, 2023
Serikali kupitia wakala wa maji safi na usafi wa mazingira RUWASA imeanza ujenzi wa mradi mkubwa wa bwawa la maji wenye thamani ya shilingi billion 1,770,686,091.83 utakao hudumia zaidi ya vijiji 5 na...