Posted on: May 12th, 2020
KalamboMkuu wa wilaya ya Kalambo Julieth Binyura amemwagiza Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo Msongela Palela kuharakisha ujenzi wa kituo cha afya Samazi ili kuwawezesha akina mama waj...
Posted on: May 8th, 2020
Naibu waziri ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Josephat Kandege ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Kalambo mkoani Rukwa kuhakikisha fedha pamoja na vifaa tiba vil...
Posted on: May 6th, 2020
BARAZA la madiwani wilayani Kalambo mkoani Rukwa limeazimia kuwafukuza kazi ikiwa ni pamoja na kuwafikisha Takukuru watendaji wote wa serikali za vijiji waliohusika kuiba fedha za makusanyo y...