• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Elimu Msingi

Idara hii inahusika na kusimamia utoaji wa elimu ya msingi ambayo hutolewa kwa watoto wote wenye umri wa miaka saba mpaka miaka kumi na nne (14). Ni elimu ya lazima kwa kila mtoto. Ni elimu inayomjengea msingi mtoto ili kuendelea na elimu ya sekondari na mifumo mingine ya elimu.

Majukumu mengine yanayotekelezwa na Idara ya Elimu Msingi ni:-

  1. Kusimamia na kutekeleza sera na taratibu za elimu kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  2. Kuimarisha na kupanua upeo wa msingi wa fikra, maarifa , ujuzi na msingi kupitia taaluma itolewayo.
  3. Kuwaandaa wanafunzi kwa ajili ya elimu ya Sekondari na ufundi stadi.
  4. Kujenga tabia ya uwezo wa kujisomea, kujiamini na kujiendeleza kwenye maeneo mapya ya taaluma, maarifa na stadi za kazi.
  5. Kuritisha maarifa na ujuzi kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine
  6. Kumwezesha mtoto kujitambua na kuitambua jamii.
  7. Kuandikisha watoto wa darasa la kwanza wenye umri wa miaka ya kwenda shule.
  8. Kuelimisha jamii kushiriki katika mambo mbali mbali ya shule kupitia vikao vya mitaa ambavyo wananchi watahudhuria na kutoa maoni.
  9. Kuandaa bajeti ya idara na vitengo vyake ikiwa ni pamoja na mpango kazi unaoendana na bajeti hiyo.
  10. Kusimamia na kuendeleza taaluma katika Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo kwa kusimamia ufundishaji, ujifunzaji mahudhurio ya walimu,wanafunzi na utendaji kazi kwa ujumla.
  11. Kuandaa takwimu mbalimbali za kielimu za wanafunzi, walimu, samani na miundombinu.
  12. Kuratibu mashindano ya taaluma na michezo kwa shule za msingi.
  13. Kusimamia haki na maslahi ya walimu kwa kufuata taratibu kama vile ruhusa, likizo masomo, matibabu n.k.
  14. Kuhudumia jamii kuhusiana na mambo yote ya kielimu na mafunzo mbalimbali kupitia kamati za shule na shughuli nyinginezo kama vile uhamisho wa wanafunzi.
  15. Kuandaa na kuendesha vikao mbalimbali vya wadau wa elimu katika ngazi zote za Halmashauri.
  16. Kuandaa Tange ya walimu wa shule za msingi kwa kila mwaka.

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo December 18, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Tanzania Bara December 18, 2020
  • Tangazo Kwa Wafanyabiashara Wote Wilayani Kalambo Kulipa Vibali Vya Kununua Mazao. July 25, 2019
  • Tangazo La Wadaiwa Sugu Wa Kodi Ya Aridhi Viwanja na Mashamba. October 23, 2019
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Ukaguzi wa Dawa kwenye vituo vya kutolea Huduma – Rukwa

    January 15, 2021
  • Madiwani Wilayani Kalambo Waapa Kumaliza Upungufu Wa Vyumba Vya Madarasa.

    January 10, 2021
  • Naibu Waziri Wa Afya Akiri Kuwepo Kwa Changamoto Ya Bima Ya Afya

    January 06, 2021
  • NFRA Wajipange Kununua Mahindi Mengi Kwa Wakulima.

    January 02, 2021
  • Tazama Zaidi

Video

LIVE: Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • TEHAMA

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.