• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Uchaguzi

Kitengo cha uchaguzi ni miongoni mwa vitengo sita vilivyopo chini ya Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Kinafanya kazi kwa kufuata kanuni na taratibu za Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi. Kitengo cha uchaguzi kina Afisa mmoja (Afisa uchaguzi) anayehusika na shughuli zote zinazohusiana na uchaguzi.

Majukumu ya Kitengo cha Uchaguzi

  1. Kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unaendeshwa katika mazingira ya uhuru, haki na amani
  2. Kuwezesha, kusimamia na kuratibu uandikishaji wa wapiga kura na kupitia orodha  ya wapiga kura walioandikishwa katika Daftari la Mpiga kura.
  3. Kuwezesha, kusimamia,na kuendesha  uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge, na uchaguzi wa serikali za mtaa.
  4. Kuhakikisha ngazi zote za uongozi zina wawakilishi kama kanuni zinavyotaka.
  5. Kupiti mipaka yote ya majimbo/maeneo ya uchaguzi nchini kwa lengo la uchaguzi Mkuu na uchaguzi wa serikali za mitaa.
  6. Kuwezesha na kuhamasisha jamii juu ya masuala ya uchaguzi.
  7. Kusimamia na kufanya tathmini mchakato wote wa uchaguzi katika maeneo ya uchaguzi

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo December 18, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Tanzania Bara December 18, 2020
  • Tangazo Kwa Wafanyabiashara Wote Wilayani Kalambo Kulipa Vibali Vya Kununua Mazao. July 25, 2019
  • Tangazo La Wadaiwa Sugu Wa Kodi Ya Aridhi Viwanja na Mashamba. October 23, 2019
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Kalambo Yazindua Ligi Ya Michezo.

    April 12, 2021
  • Halmashauri Ya Kalambo Yapata Hati Safi Kwa Miaka 5 Mfululizo.

    April 09, 2021
  • Wananchi wa Kijiji Cha Matai Asilia Wajitolea Kujenga Vyumba 4 Vya Madarasa.

    April 08, 2021
  • Philip Mpango aidhinishwa kuwa Makamu wa Rais Tanzania.

    March 30, 2021
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • TEHAMA

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.