• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Ujenzi

Wilaya ya Kalambo katika Sekta ya Ujenzi ina jumla ya watumishi kumi na wawili (12) ambao kati ya hao, Wahandisi ni watano (5), Fundi sanifu watano (5) pamoja na Madereva wawili (2). Wilaya inahudumia mtandao wa barabara wenye urefu wa Km. 846.6 ambapo kati ya hizo Km. 188.1 ni za kiwango cha changarawe na Km. 652.5 ni za udongo.

Katika mwaka wa fedha 2015/2016, Wilaya imeidhinishiwa kiasi cha Tshs. 643,530,000.00

Utekelezaji wa miradi ya ujenzi

  • Mpaka sasa Wilaya katika Sekta ya Ujenzi inaendelea kutekeleza miradi ya mwaka wa Fedha 2014/2015 ambapo miradi tisa (9) imekamilika na miradi mitatu (3) inaendelea.

Jedwali Na. 18: Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi

Na.
JINA LA MRADI
UREFU (Km.)
HALI YA MRADI
1
Kiundi – Madibila
10.2
Umekamilika
2
Myunga – Kaengesa Mikonko – Sengakalonje
7.5 18
Umekamilika
3
Mtula – Mosi
8.5
Umekamilika
4
Mkombo – Mlenje
13
Umekamilika
5
Msanzi – Mao
10
Umekamilika
6
Chelenganya – Katuka
5
Umekamilika
7
Kasanga – Kilewani
3
Umekamilika
8
Kalembe – Utengule
12
Umekamilika
9
Kawala – Kapozwa
16
Umekamilika
10
Kifone – Ilambila
7
Haujakamilika
11
Katazi – Kafukula – Kanyezi
20
Haujakamilika
12
Kaluko – Ngoma – Kamawe
11.5
Haujakamilika

 

Miradi ya mwaka wa fedha 2015/2016

  • Miradi mitatu ya barabara kwa mwaka wa fedha 2015/2016 kazi zimeanza kutekelezwa Julai 2016 na miradi mingine mitatu ya barabara kwa mwaka 2015/16 ipo katika hatua ya manunuzi.

Mapokezi ya fedha

  • Hadi kufikia tarehe 30 Juni, 2016 Wilaya imepokea kiasi cha Tsh 927,864,464.84 ambapo kati ya hizo shilingi 888,765,390.80 ni kwa ajili ya miradi ya mwaka wa Fedha 2014/2015 na shilingi 39,099,074.04 ni mapokezi ya fedha za miradi ya mwaka wa Fedha 2015/2016.

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo December 18, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Tanzania Bara December 18, 2020
  • Tangazo Kwa Wafanyabiashara Wote Wilayani Kalambo Kulipa Vibali Vya Kununua Mazao. July 25, 2019
  • Tangazo La Wadaiwa Sugu Wa Kodi Ya Aridhi Viwanja na Mashamba. October 23, 2019
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Ukaguzi wa Dawa kwenye vituo vya kutolea Huduma – Rukwa

    January 15, 2021
  • Madiwani Wilayani Kalambo Waapa Kumaliza Upungufu Wa Vyumba Vya Madarasa.

    January 10, 2021
  • Naibu Waziri Wa Afya Akiri Kuwepo Kwa Changamoto Ya Bima Ya Afya

    January 06, 2021
  • NFRA Wajipange Kununua Mahindi Mengi Kwa Wakulima.

    January 02, 2021
  • Tazama Zaidi

Video

LIVE: Maadhimisho ya Miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • TEHAMA

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.