Sunday 8th, September 2024
@Tughimbe Conference Hall, Mbeya
...Maafisa TEHAMA pamoja na maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri mbalimbali wakipata mafunzo juu wa uendeshaji wa tovuti za Serikali yaliyoandaliwa na Ofis ya Rais-TAMISEMI kwa kushirikiana Wakala wa Serikali Mtandao (eGA).
Mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Mbeya yamefadhiriwa na Msaada wa watu wa Marekani (USAID) chini ya mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3), yalihusisha Mikoa ya Rukwa, Songwe, Njombe na pamoja na wenyeji Mbeya.
Mradi wa PS3 umefadhiri usanifu wa Tovuti hizo zitakazotumiwa na Mikoa na Halmashauri mbalimbali nchini. Aidha mafunzo hayo yamefanyika sehemu mbalimbali kwa kujumuhisha Mikoa mbalimbali.
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.