Sunday 8th, September 2024
@Soko la Mazao-Matai
Taasisi mbalimbali za Serikali na Binafsi, wajasiliamali pamoja na wadau mbalimbali wakionesha na kutoa elimu ya bidhaa na huduma mbalimbali zinazopatikana kwao.
Wilaya ya Kalambo inatarajia kushiriki katika maonesho ya Nanenane katika ngazi ya Kanda ya Nyanda za Juu Mkoani Mbeya, yatakayoanza Tarehe 01/08/2017 hadi kilele cha Maonesho hayo Tarehe 08/08/2017. Kupitia Maonesho hayo Wilaya ya Kalambo itaweza Kutangaza vivutio mbalimbali vya kiuchumi na Kiutalii vilivyopo katika Wilaya ikiwa ni pamoja na kubadirishana mbinu bora na Taasisi zingine katika nyanja mbalimbali kama vile kilimo,Ufugaji,Uvuvi,Utalii na kadharika. Kwa mwaka huu maonyesho hayo yatabeba kauli mbiu isemayo “Zalisha kwa tija mazao na bidhaa za Kilimo,Mifugo na Uvuvi ili kufikia uchumi wa kati”
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.