• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Ahukumiwa Miaka 30 Jela Kwa Ubakaji.

Posted on: July 20th, 2020

Mkazi mmoja wa kijiji cha mwazye wilayani kalambo mkoani Rukwa Crisant Longwani mwenye umri wa miaka 32 amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka thelathini (30) jela na mahakama ya wilaya ya Kalambo kwa kosa la kujaribu kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 11 mwanafunzi wa darasa la nne.

Akisoma shitaka hilo mbele ya mahakama hiyo mwendesha mashitaka wa jeshi la polisi wilayani humo Rajabu Ndunda, amesema mshitakiwa alitenda kosa hilo 30 march 2020, ambapo alimvamia mtoto huyo nyumbani kwao majira ya usiku na kumchania nguo zake zote kwa lengo la kutaka kumbaka.

Aidha mwendesha mashitaka huyo amesema baada ya kelele za kuomba masaada kusika maeneo hayo watu walikusanyika na kumkuta kijana huyo akiwa katika jaribio la kutaka kumbaka mtoto huyo.

Hata hivyo mahakama iliweza kusikiliza ushahidi wa pande zote mbili na kujiridhisha, ambapo mshitakiwa aliweza kukiri kutenda kosa hilo na kuiomba mahakama kumpunguzia adhabu kutokana na kosa hilo kuwa la kwanza na pia ni tegemezi kwa famillia.

  Awali akisoma hukumu hiyo hakimu mkazi wa mahakama hiyo Nickson Temu, amesema mshitakiwa alitenda kosa  hilo kinyume na  kifungu 132 (1) cha sheria kanuni ya adhabu kwa kufanya jaribio la kutaka kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka11 mwanafunzi wa darasa la nne na kusema  hivyo anahukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • TIMU YA MTAPENDA FC WILAYANI KALAMBO YAKABIDHIWA KOMBE NA MNYAMA NG’OMBE BAADA YA KUIBUKA NA USHINDI MICHEZO LIGI KUU NGAZI YA WILAYA

    October 27, 2025
  • WASIMAMAZI 1,703 WA VITUO WAPATIWA MAFUNZO JIMBO LA KALAMBO.

    October 27, 2025
  • WASIMAMAZI 1,703 WA VITUO WAPATIWA MAFUNZO JIMBO LA KALAMBO.

    October 27, 2025
  • . VIONGOZI WA DINI WILAYANI KALAMBO WATOA WITO KWA WAUMINI KUPUUZA WATU WANAO HAMASISHA VURUGU NA MAANDAMANO KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII.

    October 26, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.