• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Auwawa Na Mwanae Kisa Maji Ya Kisimani.

Posted on: November 1st, 2023

Mtu mmoja mkazi wa kijiji cha Kalepula kata ya Ulumi wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Januari Msindo miaka 83 ameuwawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mtoto wake Paskali Ngamila miaka 21 kutokana na mzozo wa maji.

Wakazi wa kijiji hicho wamesema chanzo ni baada ya baba huyo kuyatumia maji yaliyochotwa na kijana bila kuwasiliana na mwanae ambaye baada ya kupandwa na hasira alichukua shoka na kumkata baba yake sehemu za shingoni na kusababisha kifo chake papo hapo.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Rukwa ACP shadrack Masija ambae licha ya kukili kutokea tukio hilo ,amesema mtuhumiwa amekamatwa na atafikishwa mahakamni mara baada ya uchunguzi kukamilika na kuwataka wananchi kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo December 18, 2020
  • Tangazo la Zabuni ya Wakala wa Usafi September 12, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA TAREHE 3 MEI 2023 May 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Mgogoro Sugu Wa Ardhi Kijiji Cha Ilimba Wapatiwa Ufumbuzi Wa Kudumu

    November 30, 2023
  • Kalambo Yajiwekea Mkakati Unyweshaji Dawa Za Kinga Tiba Ya Ugonjwa Wa Vikope.

    November 27, 2023
  • Kalambo Kutumia Michezo Kutokomeza Utoro Wa Wanafunzi Shuleni.

    November 23, 2023
  • Kalambo Yafanikiwa Kununua Mashine 128 Za Ukusanyaji Mapato Kwa Mfumo Wa Tausi

    November 16, 2023
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.