Chama cha mapinduzi CCM mkoani Rukwa kimeadhimisha miaka 47 ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi ccm kwa kupanda miti 1000 kwenye maeneo ya wazi katika kijiji cha Kasanga wilaya Kalambo, ambapo mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Sultan Salehe ametumia fursa hiyo kuwataka wananchi wanaoishi kando kando ya ziwa Tanganyika kuyahama maeneo hayo ili kuepuka makazi yao kuzingirwa na maji.
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.