Mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Dkt Lazaro Komba amekutana na viongozi wa chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa na afya Tanzania (TUGHE) ofisini kwake na kuwataka kuwa sehemu ya kuhamasisha watumishi kufanya kazi kwa weledi ili kufikia malengo ya serikali katika kuwatumikia wananchi.
Aidha viongozi wa chama hicho wakiongozwa na Makamu mwenyekiti wa chama hicho Taifa Dkt.Jane Madete wamekutana na watumishi wa Idara ya afya katika Hospitali ya wilaya ya Kalambo na kusisitiza uwajibikaji mahali pa kazi.
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.