Mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Lazaro Komba amewataka wananchi wilayani humo kujenga mazoea ya kupanda miti kuzunguka maeneo ya makazi yao ili kuepuka nyumba zao kuezuliwa na upepo.
Hatua hiyo inakuja kufuatia nyumba 30 kuezelliwa na upepo katika kijiji cha Kaluko kata ya Katete wilayani humo na kusababisha familia 14 kukosa makazi kufuatia mvua kubwa ilionyesha oktoba 26/2023 na kusababisha baadhi ya kaya kujihifadhi kwa majirani.
Licha ya hilo aliwataka kujenga mazoea ya kujenga nyumba bora na imara kwa kufuata ushauri kutoka kwa watalaamu wa ujenzi ili kuepuka matukio hayo kujirudia
Watendaji wa serikali mkoni Rukwa ewametakiwa kufanya kazi kwa uadirifu kwa kuacaha kuchepusha
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.