• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Dc Kalambo Asisisitiza Wananchi Kulinda Miundombinu Ya Maji

Posted on: December 29th, 2022


Mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Tano Mwela amewataka wananchi wilayani humo kujenga mazoea ya kutunza miundombinu ya maji ili iweze kudumu na kuwa endelevu kutokana na serikali kutumia fedha nyingi katika kuiboresha na kuijenga

Aliyasema hayo wakati wa ziara ya kamati ya usalama  ya wilaya hiyo wakati wa ukaguzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Mpombwe unaotekelezwa na wataalamu wa ndani (Force Account ) kwa gharama ya shilingi milion 304,729,750.00  na  kusema mradi huo umejengwa kupitia ufadhili wa fedha za Benk ya Dunia kupitia program ya PforR na kwamba utahudumia wakazi wapatao 3,058 na kudumu kwa miaka 20.

Aidha aliwataka wananchi kuwa walinzi  kwa kutoa taarifa kwenye mamlaka husika dhidi ya mtu au watu wanaoharibu miundombinu ya maji ili waweze kuchukuliwa hatua za kisheria

Mapema akiongea kupitia ziara hiyo Kaimu meneja wa Ruwasa wilayani humo Francis Mapunda , alisema katika kuhakikisha mradi huo unakuwa endelevu kimeundwa chombo cha watoa huduma ya maji ngazi ya jamii (CBWSO) kijulikanacho  kwa jina la KAPOMBWE ambacho kitasimamia shughuli za uendeshaji na matengenezo ya miradi ya vijiji vya kata ya Kisumba na Mpombwe

Baadhi ya wananachi kijiji hapo waliipongeza serikali kwa kukamilisha mradi huo na kwamba utawawezesha kuondokana na adha ya kutembea umbali mrefu wakati wa kutafuta huduma ya maji maeneo ya mbali

Matangazo

  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Tanzania Bara December 18, 2020
  • Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo December 18, 2020
  • TANGAZO LA KAZI May 25, 2022
  • Tangazo la Zabuni ya Wakala wa Usafi September 12, 2022
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Das Kalambo Akabidhi Pikipiki 7 Kwa Watendaji Wa Kata

    February 21, 2023
  • Das Kalambo Akabidhi Pikipiki 7 Kwa Watendaji Wa Kata

    February 21, 2023
  • DC Kalambo Asisitiza Wakandarasi Kutopewa Muda Wa Nyongeza Kukamilisha Miradi Ya Maji

    February 16, 2023
  • Dc Kalambo Asisitiza Viongozi Wa Serikali Kusimamia Kampeni Ya Upandaji Miti

    February 08, 2023
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.