• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Dc Kalambo Asisitiza Viongozi Wa Serikali Kusimamia Kampeni Ya Upandaji Miti

Posted on: February 8th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Lazoro Komba  amewataka watendaji wa serikali kusimamia zoezi la upadaji miti kwenye maeneo yao husika kwa kudhibiti ukataji miti kiholea na upitishaji mifugo kwenye vyanzo vyamaji

Ametoa kauli hiyo wakati akizindua kampeni ya mkoa ya kupanda miti kwenye barabara na makazi ya watu katika maeneo ya Utengule na Nambogo Manispaa ya Sumbawanga leo (Februari 08,2023)

Katika kuhakikisha kampeni ya urejeshaji uoto wa asili mkoani Rukwa inafanikwa mkuu wa mkoa wa Rukwa Queen Sendiga amezitaka halmashauri za Nkasi, Manispaa ya Sumbawanga, Kalambo na Sumbawanga kuboresha sheria ndogo ili ziweze kuchua hatua kwa waharibifu wa vyanzo vya maji

“Maafisa watendaji wa kata zote jukumu lenu ni kwenda kusimamia zoezi la upandaji miti kwenye maeneo yenu. Maafisa Tarafa nendeni pia mkasimamie zoezi hili la upandaji miti Rukwa” alisisitiza Sendiga.

Sendiga alisema mkoa huo una changamoto ya utapiamlo ,hivyo sasa ni wakati wa wananchi kupanda miti ikiwemo ya matunda ili kuimarisha lishe ya familia.

Katika hatua nyingine Sendiga ametoa siku saba kwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt.Jane Nyamsenda kuhakikisha mitaa ya Manispaa ya Sumbawanga inakuwa safi pamoja na kupandwa miti na maua.

Kwa upande Mwenyekiti wa CCM Rukwa Silafu Maufi aliyeshiriki zoezi hilo alisema zoezi hilo la upandaji miti lililofanywa na viongozi wa Rukwa ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kuwa linapaswa kuwa endelevu.

“Nyumba zote za barabarani zipande miti kuanzia Sumbawanga hadi Tunduma ili kupendezesha mazingira. Miti ni pambo. Vipara vyote juu ya ardhi tuvipande miti” alisema Maufi.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Jane Nyamsenda alisema programu ya upandaji miti iliyozinduliwa itakuwa utamaduni kwa wananchi wa Sumbawanga na kuwa itasaidia kurejesha uoto wa asili unaopotea kwa kasi.

Matangazo

  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Tanzania Bara December 18, 2020
  • Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo December 18, 2020
  • TANGAZO LA KAZI May 25, 2022
  • Tangazo la Zabuni ya Wakala wa Usafi September 12, 2022
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Das Kalambo Akabidhi Pikipiki 7 Kwa Watendaji Wa Kata

    February 21, 2023
  • Das Kalambo Akabidhi Pikipiki 7 Kwa Watendaji Wa Kata

    February 21, 2023
  • DC Kalambo Asisitiza Wakandarasi Kutopewa Muda Wa Nyongeza Kukamilisha Miradi Ya Maji

    February 16, 2023
  • Dc Kalambo Asisitiza Viongozi Wa Serikali Kusimamia Kampeni Ya Upandaji Miti

    February 08, 2023
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.