Halmashauri ya wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa imepokea watumishi wa ajira mpya 67 wakiwemo walimu wa shule za Msingi kumi na nane(18) na walimu wa Sekondari ishirini na nne (24).
Aidha watumishi wengine waliopokelewa ni Pamoja na Afisa usafirishaji mmoja (1) Afisa Ugavi mmoja (1) Afisa nyuki mmoja, wateknolojia watatu (3) maafisa hesabu wawili (2) Mhasibu mmoja (1), watendaji wa Kata watano (5) na watendaji wa Vijiji (3).
Hata hivyo mwezi Januari 2025 Halmashauri ya Kalambo ilipokea watumishi wa ajira mpya 53 wa kada ya ualimu na watendaji wa vijiji 24.
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.