• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Hayati Costansia Nyembele aliyekuwa Diwani wa viti maalum Mwimbi enzi za uhai wake.

Posted on: March 28th, 2024

Marehemu Costansia Gasto Nyembele alizaliwa tarehe 23/09/1961 katika Kijiji cha Mwimbi, Kata ya Mwimbi, Wilaya ya Kalambo na kubatizwa tarehe 26/09/1961 na kupata komunio mwaka 1972 na mwaka1978 alipata kipaimara Katika Kanisa la Yakobo Parokia ya Ulumi. (Roman Catholic) na kuhitimu shule ya Msingi Kalambo mwaka1977.

Marehemu aliwahi kuwa mjumbe wa kamati ya shule ya msingi Mwimbi, mjumbe baraza la kata ya Mwimbi,mzee wa baraza la mahakama ya Mwimbi na mjumbe  wa bodi ya shule ya sekondari Mwimbi na baadae alichjaguliwa kuwa mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari Mwimbi na badae kuwa diwani wa tarafa hiyo.

Hata hivyo katika maisha ya kisiasa, Mwaka1985 marehemu alichaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu Wilaya ya Sumbawanga kabla ya Wilaya ya Kalambo Haijaanzishwa. Mwaka 1990 alichaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mwaka1995 alichaguliwa kuwa Diwani Viti Maalum Tarafa ya Mwimbi na kutumikia nafasi hiyo kwa vipindi tofauti hadi ilipoanzishwa Wilaya ya Kalambo.

Aidha Mwaka 2013 Wilaya na Sumbawanga iligawanywa na kuzaliwa Wilaya ya Kalambo, ambapo marehemu alikuwa katika nafasi hiyo ya Udiwani wa Viti Maalum Tarafa ya Mwimbi. Nafasi ambayo ametumikia kwa vipindi vitatu hadi umauti wake. Akiwa katika nafasi ya udiwani alitumikia katika kamati mbali mbali za kudumu za Halmashauri akiwa kama mjumbe Kamati ya fedha, uongozi na mipango kwa vipindi vinne, 2015/2016, 2016/2017, 2020/2021 na 2021/2022, Kamati ya Ujenzi, Uchumi na Mazingira kwa vipindi nane, 2013/20214, 2014/2015, 2017/18, 2018/2019, 2019/20, 2022/2023 na 2023/2024 hadi umauti ulipomkuta alikuwa mjumbe wa kamati hiyo.

Aidha Marehemu Costansia alikuwa na matatizo ya Moyo yaliyogunduliwa mwaka 2019 katika Hospitali ya watu wa Korea Kibaha- Pwani, alikuwa akitibiwa katika Hosptali mbali mbali za Kristu Mfalume (Dr. Hatman), Kituo cha Afya Mwimbi, Hospitali ya Mkoa wa Rukwa, Hospital ya Alfa-Dar es Salam na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Hata hivyo, mnamo tarehe 23/03/2024 hali ya Mgonjwa ilibadilika na kukimbizwa katika Kituo cha Afya Mwimbi na kupatiwa matibabu ya dharula ambapo Madaktari walijitahidi kuokoa maisha lakini aliaga Dunia. Marehemu amefariki akiwa na umri wa miaka 63.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.