• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Hayati Rais magufuli awachia alama isio futika wakazi wa kalambo.

Posted on: March 25th, 2021

Siku moja kabla ya mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli kupumzishwa katika nyumba yake ya milele huko kijijini kwao Chato. Shughuli zilianzia Dar es Salaam, Dodoma, Zanzibar, Mwanza na hatimaye zinamalizikia Chato Kaskazini magharibi mwa Tanzania.

Maombolezo yanaendelea na shughuli za nchi zimesimama. Bado kuna vilio na huzuni. Salamu za rambirambi zinamiminika kutoka ndani na nje ya taifa hilo la Afrika Mashariki. Watanzania wamepewa fursa ya kumuaga.

Mtawala anapofariki, kinachosalia ni kumbukumbu. Watanzania wanayo mengi ya kumkumbuka Magufuli kwa utawala wake wa miaka mitano na miezi kadhaa.

"Mwanamapinduzi," "mtoto wa bara la Afrika," Mwafrika wa kweli," shujaa dhidi ya ufisadi." Ni kauli kutoka marais wa Afrika waliohudhuria shughuli ya kumuaga katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.

Wengi wanamkumbuka kama mtetezi wa Tanzania. Kiongozi aliyepigania maendeleo ya watu wake na kupambana na rushwa na ufisadi. Hakuvumilia wateule wake waliofanya uzembe na kutowajibika.

Yumkini ndani ya Afrika Magufuli alivutia wengi kwa uongozi wake uliojikita kuwatumikia Watanzania masikini. Akipambana na mianya ya matumizi mabaya ya pesa za umma, ubadhirifu na ufujaji.

Kiongozi aliyeipenda nchi yake kiasi cha kutofanya safari yoyote nje ya bara hilo. Daima aliwakilishwa na mabalozi, mawaziri au Makamu wake. Alibaki ndani ya Tanzania akihudumia raia wake.

 Licha ya hilo wananchi katika mikoa mbalimbali wameendelea kufanya maombi dhidi ya kiongozi huyo huku wengi wao wakielezea kumkumbuka daima kutokana na alama kubwa alioiacha ikiwemo uboreshaji wa miundombinu ya barabara na ujenzi wa vituo vya afya.

Hata hivyo katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa wakazi wa wilaya hiyo Machi 24/2021 walifanya maombi ya kumuombea kwa mungu hayati Rais magufuli na kuelezea kumkumbuka daima kutokana na kupigania ujenzi wa vituo vitatu vya afya, Hosptari ya wilaya pamoja na ukamilishwaji wa barabara ya lami kutoka Sumbawanga hadi Kasanga

Licha ya hilo wakazi wa wilaya hiyo wameelezea kumkumbuka Rais magufuli kwa kuanzisha ujenzi wa bandari ya Kasanga pamoja na kuimalisha miundombinu ya barabara katika mji wa Matai.

Maoambi hayo yaliofanyika wilayani humo katika soko kuu la mazao (matai) yalishirikishwa na viongozi wa dini, viongozi wa kimira ,wakuu wa idara pamoja na viongozi wa kisiasa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.