• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Je Unaweza Kusherehekea Vipi Msimu Huu Bila Kuvuruga Bajeti Yako?

Posted on: December 23rd, 2019
Sarafu ya Tanzania

Siku kuu ya Krismasi inakaribia na kila mmoja yuko mbioni kuhakikisha msimu huu wa sherehe unakuwa wa kufana kwani ni muda wa kujumuika na ndugu jamaa na marafiki.

Kwanza kabisa hakikisha unatumia muda huu kufurahia kadiri ya uwezo wako lakini usitumie fedha ambazo huna mfukoni.

Wataalamu wa masuala ya kifedha wanasema kama ulitenga fedha kando kwa ajili ya sherehe ya Krismasi na mwaka mpya basi unaweza kusafiri ukapo na kuzitumia fedha hizo bila hofu.

''Hii ni safari,''anasema mshauri wa wa masuala ya fedha ambaye pia ni mwenyekiti na mwanzilishi wa Taasisi ya Centonomy ambayo hutoa mafunzo kuhusu jinsi ya kutafuta fedha na kuekuza fedha hizo.

Lakini kwa nini kila baada ya msimu wa sherehe watu hasalia na madeni na wengine kuuza vitu zao za thmani kujikimu mwezi wa Januari?

Waceke Nduati

''Tatizo linakuja pale ambapo unafanya maamuzi ya dakika za mwisho kuhusu mipango ya sherehe ambayo hukuwa nayo,'' anaendelea kusema Bi Waceke:

Na kuongeza kuwa ''watu wanakurupuka dakika za mwisho kufanya mipango ya sherehe na kutumia fedha zao kiholela''.

Je unawezaje kusherehekea bila kuwa na hofu kwa kutumia fedha ambazo hukupangia?

Kujibu swali hili, Bi Waceke Nduati anasema ni vyema kuelewa maana halisi ya Krismasi.

Kuenda kujivinjari wakati wa krismai au wakati mwingine wowote kunahitaji maandalizi ya hali ya juu

Kwa mtazamo wake anasema Krismasi inahusu kusherehekea na watu uwapendao na kuongeza kwamba kuna njia nyingi sana ya kusherehekea na watu uwapendao bila kujiingiza kwenye madni ambayo yanaweza kuepukika.

Pia anaongeza kuwa ni wakati mzuri wa kusoma kitabu, kujifunza kitu kipya kama vile mapishi alimradi ni kitu ambacho kitakuepusha na gharama zisizokuwa na maana kama kwenda maeneo ya burudani kutumia fedha ambzo huna kwa wakati huo.

Bi Waceke pia anashauri usichukue deni kwa ajili ya kusherehekea kwasababu deni inamaana kuwa huna uwezo wa kununua unachotaka kwa nafasi yako.

Jinsi ya kutengeza bajeti ya krismasi

  • Wataka kutumia pesa ngapi
  • Orodhesha majina ya watu unaotaka kuwanunulia zawadi
  • Tumia pesa ulizotenga kununua zawadi hizo
  • Lipia kila unachotaka kunua kwa pesa tasilimu usikopeshe.

''Watu wengi hujipata katika madeni kutokana na sababu wanataka kushindana na wenzao, kwa mfano kama jirani yako anaenda kujivinjari Dubai, usidhubutu kushindana na e kwasababu hujui anakotoa fedha zake'' anasema Waceke

Kwanza jielewe wewe na uhusiano wako na hela.

Kile unacholipwa si hoja cha msingi ni uwezo wako wa kuweka akiba. Ikiwa huwezi kuweka akiba kutokana na kidogo unachopata hata ukipata kikubwa hutaweza kuweka akiba.

Kabla ya kusherehekea

Mwezi Januari unakuja na gharama zake ni vyema kuzingatia vidokezo vifuatayo:

  • Tenga fedha za kugharamia huduma zote muhimu kama vile kodi ya nyumba, karo ya shule na chakula
  • Bima ya gari lako na bima ya afya ikiwezekana lipa moja kwa moja ikiwa unagofia huenda ukazitumia fedha hizo.
  • Zitakazibakia tumia kuwafurahisha watu uwapendao katika maisha yako.
  • Kusherehekea sio lazima usafiri unaweza kuwa nyumbani na watoto wako ukaamua kuwapukia haswa kama weww ni mama anaefanya kazi... tumia muda guu wa sherehe kujumuika na familia yako.
  • Jiulize kwa nini natumia pesa hizi zote...je nazitumia kufurahisha watu au kujifurahisha?

Mwisho Bi Waceke Nduati anasema, Sawa na jinsi unavyosuluhisha tofauti katika uhusiano wako na watu ndivyo unavyotakiwa kusuluhisha tatizo la utumizi wa fedha katika maisha yako.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA KALAMBO YAFIKIA ASILIMIA 120 UKUSANYAJI WA MAPATO.

    June 27, 2025
  • HALMASHAURI YA KALAMBO YAFIKIA ASILIMIA 120 UKUSANYAJI WA MAPATO.

    June 27, 2025
  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.