Halmashauri ya Kalambo mkoani Rukwa imeanzisha mkakati wa kukabilina na vitendo vya utoro kwa wanafunzi wa shule za misngi kwa kutoa vifaa vya michezo ikiwemo jezi,mipira sambamba na kuanzisha vitalu vya michezo Kalambo Kutumia Michezo Kutokomeza Utoro Wa Wanafunzi Shuleni.
Halmashauri ya Kalambo mkoani Rukwa imeanzisha mkakati wa kukabilina na vitendo vya utoro kwa wanafunzi wa shule za misngi kwa kutoa vifaa vya michezo ikiwemo jezi,mipira sambamba na kuanzisha vitalu vya michezo katika shule tatu.
Akikabidhi vifaa vya michezo kwa maafisa michezo kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo ,Afisa elimu msingi Januari Njovu amesema kwa kutambua umuhimu wa michezo halmashauri kupitia idara ya elimu msingi imenunua jezi seti 4 sawa na jezi 128 na mipra 8 ambazo zitagawiwa kwenye shule za msingi na kwamba lengo ni kuhakikisha wanafunzi hususani wa madarasa ya awali wanajikita kwenye michezo ili kuchangamsha ubongo.
Kwa upande wake afisa elimu taalma wilayani humo John Daniel amesema michezo kwa wanafunzi inasaidia kuwafanya wanafunzi kufanya vizuri darasani sambasamba na kuongeza uwezo wa akili hasa katika masomo ya Hisabati ,Kingereza na sayansi.
Mmmoja wa walimu wa michezo wilayani humo James Masoya ,alisema michezo imekuwa chanzo cha kuongeza mahudhurio darasani sambasamba na kusaidia wanafunzi kuimarisha afya na kuibua vipaji ambavyo vimekuwa vikisaidia vijana kujiajiri wenyewe.
katika shule tatu.

Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.