• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Kila Anayekufa Sio Mgonjwa Wa Corona'’Rais Magufuli Amesema

Posted on: April 22nd, 2020

Rais John Magufuli amewatoa hofu Watanzania kwa kusisitiza kuwa: ''Kila anayekufa sio mgonjwa wa corona''

Katika hotuba yake iliyopeperushwa mubashara muda mfupi uliyopita na vyombo vya habari nchi  haapaa  nchini,  Rais Magufuli ameongeza kuwa Watanzania wengi wanatakiwa kuhamasishwa kuhusu ugonjwa corona.

Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Tanzania imefikia 284.

Wito wa kutaka serikali kuweka marufuku ya usafiri ili kukabiliana na kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona umekuwa ukitolewa na baadhi ya watu nchi humo.

Lakini akiangazia suala la kuweka marufuku ya kutotoka nje yaani ''Lockdown'' Rais Magufuli alisema: "Wapo wengine wanatoa mawazo ya kuifunga Dar es Salaam, hili haliwezekani. Dar es salam ndio centre pekee ambapo collection ya revenue inapatikana kwa nchi yetu"

Zaidi ya asilimia 80 ya mapato yanakusanywa Dar es Salaam.

Dar es Salaam ni jiji la watu milioni 6, hivyo kitakwimu tu lazima wawe na wagonjwa wengi zaidi.

Rais Magufuli pia ametoa wito kwa wa nchi zote za Afrika kuungana kuziomba taasisi za kifedha ikiwemo Benki ya Dunia kutoa msamaha wa madeni badala ya kutaka kukopesha madeni mengine.

"Niziombe taasisi za Fedha Duniani kwasisi nchi maskini badala ya kutoa unafuu wa Mikopo kwa ajili ya kupambana na Corona watufutie baadhi ya madeni au kupunguza riba katika mikopo tunayolipa kusudi mapato tunayopata yakapambane na corona na si kulipa madeni"

Alitaja Benki ya dunia ambayo imeguswa na janga la corona kusaidia mataifa ya Afrika kwa kusamehe madeni japo kwa asilimia kidogo ili fedha zinazolipwa na mataifa hayo na pamoja na riba wanazolipa katika fedha walizokopa zitumike kupambana na corona.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KALAMBO YAKWAMA KUENDELEA NA ROBO FANAIL MASHINDANO YA SHIMISEMITA JIJINI TANGA

    August 26, 2025
  • RC ATAKA WATAALAMU KUTOA ELIMU YA LISHE

    August 08, 2025
  • RC RUKWA AFURAHISHWA NA UTOAJI WA UNGA WA SAMAKI KWA WATOTO.

    August 06, 2025
  • HALI YA UPATIKANAJI WA DAWA MUHIMU WILAYANI KALAMBO WAFIKIWA 84%

    August 01, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.