Wajumbe wa mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi CCM kata ya Kasanga wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa wamempitisha Leopard John Mbita kuwa mgombea wa udiwani wa kata hiyo baada ya kupita bila kupingwa kwa kura za ndio180.
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.