• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Maafisa Kilimo Kalambo Watakiwa Kufanya Kazi Kwa Weredi

Posted on: September 27th, 2023

Maafisa Kilimo Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa wametakiwa kujitathimini kwa kufanya kazi kwa weredi kutokana na baadhi yao kushindwa kutekelekeza majukumu yao kikamilifu licha ya serikali kuwapatia vitendea kazi ikiwemo pikipiki ili kuwafikia wakulima vijijini.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Wilayani humo Bw.Nichoraus Mrango kupitia kikao kazi kilicho shirikisha wataalamu wa Idara ya Kilimo, Mifugo, na Uvuvi na kufanyika katika shule ya wasichana ya Matai na kusema kila Afisa Kilimo anatakiwa kujua changamoto za wakulima na kuzifanyia kazi.

Alisema serikali ya awamu ya sita kupitia Mh,Rais wa Jamhuri ya mungano wa Tanzania  Dkt Samia Suluhu Hassan imewapatia vitendea kazi kwa maafisa kilimo ikiwemo pikipiki 59 lengo likiwa ni kuongeza uzalishaji  kwa kuwafikia wakulima wengi zaidi vijijini.

Awali akiongea kwa niaba ya Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bw.Wambura Sunday aliwataka wataalam kufanya kazi kwa weredi kulingana na miongozo ya serikali ikiwemo kuwafikia wakulima kwa wakati na kutatua changamoto zao.

Hata hivyo baadhi ya maafisa mifugo wilayani humo walisema Halmashauri ina jumla ya ng’ombe 155,010 na kwamba endapo viwanda vya kusindika maziwa vikianzishwa vitasaidia wafugaji kufuga kwa tija na kuongeza uchumi wao kutokana na wilaya hiyo kuzalisha maziwa zaidi ya lita elfu therathini kila mwezi.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.