Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Rukwa imefanikiwa kuokoa fedha kiasi cha Shilingi Million 245,000,000 huku kati ya hizo million 45 zikiokolewa kutoka wa watendaji waliokuwa wamekula fedha za mapato ya ndani {Defaulters.}.
Mkuu wa TAKUKURU Mkoani humo Yustina Chagaka, alisema kati ya fedha hizo milioni 99,556,600 zilitokana na kuchepushwa na kufanyiwa ubadhirifu kinyume na sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 11 ya mwaka 2007.
Alisema shilingi million 45,905,100 ziliokolewa kutoka kwa wadaiwa wa ukusanyaji mapato kwa njia ya POS ziliokolewa kutoka Halmashauri zote za Mkoa wa Rukwa huku Wilaya ya Kalambo zikiokolewa shilling 12,323,000, Wilaya ya Nkasi shilingi 31,532,100 na Sumbawanga shilingi 2,050,000.
‘’Katika kipindi hiki TAKUKURU imeendelea kufanya uchambuzi wa mfumo katika Wilaya zote za Mkoa wa Rukwa kuhusu utoaji wa vibali vya ujenzi ili kubaini kasma kuna mianya ya Rushwa
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.