• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Mapato Ya Halmashauri Ya Kalambo Yaongezeka .Madiwani Wafunguka Siri Ya Mafanikio

Posted on: September 30th, 2019


Halmashauri ya wilaya ya kalambo mkoani Rukwa imefanikiwa kuongeza kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya serikali kutoka zaidi ya shilingi milioni mia nane kwa mwaka wa fedha 2017/18 hadi zaidi ya shs bilioni moja kwa mwaka wa fedha 2018/19 kutokana na kuziba mianya ya matumizi yasiyokuwa sahihi ya fedha

Kaimu mweka hazina wa Halmashauri ya wilaya ya Kalambo,Agustino Manda amewaeleza wajumbe wa kikao maalumu cha baraza la madiwani wa Halmashauri hiyo kilichoketi kuridhia mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha ulioishia june 30 kuwa uadilifu mahali pa kazi umewezesha mafanikio hayo.

Aidha ameelezea jinsi watumishi wa umma katika Halmashauri hiyo walivyozingatia njia sahihi za mapato na matumizi kwa mujibu wa sheria  na kwa kuzingatia nidhamu ya matumizi bora ya fedha za serikali ‘’Financial memorandum of 2017.’’

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo, Daudi Sichone, amesema ushirikiano wa pamoja kati ya wataalamu na viongozi wa kisiasa kwa maana ya madiwani umewezesha kuongezeka kwa mapato ya Halmashauri kunakozingatia kanuni taratibu na sheria ya fedha.

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo, Ephraim Mozes   pamoja  na baadhi  ya madiwani  Wilayani  humo  hawakusita  kuelezea mikakati ya  Halmashauri  hiyo katika  swala  zima  la  ukusanyaji  mapato na kusema.

‘’tumenzisha oparesheni ya kukagua magari nyakati za usiku hususani yale ambayo yanahusika na ubebaji  wa mazao ya nafaka  kwani  baadhi  ya  madereva  wamekuwa  wakitorosha mizigo bila  kulipa  ushuru’’ walisema viongozi  hao.

Imeelezwa kuwa mikakati bora ya usimamaizi wa mapato ya Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo umewezesha kuongezeka asilimia ya ukusanyaji kutoka asilimia 47 hadi kufikia asilimia 61 na hivyo kuwa na uwezo wa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.