• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Million 196 Zatengwa Kukamiliusha Majengo Matatu Ya Hosptali Ya Wilaya Ya Kalambo Pamoja Na Vituo Vya Afya.

Posted on: July 19th, 2023

Halmashauri ya Kalambo mkoani Rukwa kwa mwaka wa fedha 2023/2024 imefanikiwa kutenga fedha million 196,000,000/=  kwa ajili ya ukamilishaji majengo katika Hospitali ya wilaya ikiwemo vituo vya afya na Zahanati ambapo kati ya fedha hizo million 70,000,000 /= zimetengwa kukamilisha wodi tatu katika Hospitali ya wilaya na 126,000,000/= kukamilisha vituo vya afya Pesa hizi kutoka mapato ya ndani.

Mkurugezni mtendaji wa Halmshauri hiyo Shafi Mpenda alisema Lengo kubwa ni kuhakikisha Hospitali hiyo inafanya kazi kwa asilimia miamoja na kwamba mpaka sasa majengo yaliokamilika ni pamoja na jengo la wagonjwa wa nje (OPD),nyumba tatu za watumishi, Jengo la (mionzi x-ray), Jengo la kuhifadhia maiti (mortuary) jengo la kufulia (laundry)  na jengo la wazazi (maternity).

Aidha alisema majengo yanayorajiwa kukamilishwa kupitia fedha hizo ni pamoja na jengo la Wodi ya watoto ,Wodi ya wanawake na Wodi ya wanaume na kwamba lengo la serikali ni kuhakikisha majengo yote ifikapo mwishoni mwa mwezi wa nane yawe yamekamilika na kuanza kutoa huduma na kwamba mpaka sasa huduma zimeanza kutolewa kwa wagonjwa wa nje.

Hata hivyo akiongea kupitia mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo la Santamalia wilayani humo Mbunge wa jimbo hilo Josephati Kandege, aliagiza kukamilishwa haraka kwa majengo hayo ili kuruhusu wananchi kupata matibabu kwa karibu na maeneo yao.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.