Mkuu wa mkoa wa Rukwa Joachim Wangobo amemwagiza mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kalambo Palela msongera kuhakikisha anakamilisha ujezi wa hospitari ya wilaya hiyo ndani ya siku kumi na kusisitiza kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya wakandasi ambao wataenda kinyume na matakwa ya mkata.
Ujezi wa hospitali ya wilaya ya kalambo ulinza march 2019 na huku mkataba wake ukiwa ni miezi mitatu na ukijumuisha ujenzi wa majengo saba na kughalimu kiasi cha shilingi bilion1.8
Katika kuhakikisha ujezi huo unakamilika kwa wakati mkuu wa mkoa huo Joachim Wangabo amelazimika kukagua maendeleo ya ujezi wa hositali hiyo kwa kuuagizauongozi wa halmashauri hiyo kuhakikisha ujezi huo unakamilika ndani ya siku kumi.
‘’kusema kweli hali hailidhishi kwasababu awamu ilipita nilifika hapa na nikatoa maelekezo na mnaagizo,lakini naona bado hazi iko vilevile na hiii ni maakosa ya uongozi wa wilaya hivyo niseme mkurugenzi tutafikishana mbali endapo hali bado itaendelea kuwa hivi.’’ Alisema Wangabo.
Mkurugenzi mtendaji wa halamshauri hiyo Palela Msongera,aliesema tayari wameanza jitihada za kusambaza maji kwenye maeneo hayo na kusema licha ya hilo wameagiza vifa vya ujenzi ambavyo muda wowote vitakawa saiti.
‘’mkuu vmpaka sasa tumeagiza vifaa vya ujezi ikiwemo sementi ambavyo tunatarajia muda wowote kuanzia sasa vitakuwa vimefika eneola saiti na ujenzi kuendelea kama kawaida.’’alisema Msongera.
Hata hivyo ujezi wa hospitrali hiyo upo katika hatua ya upauaji hivyo endapo ukikamilika kwa wakati itasaidia wananchi kuondokana na adha ya kutembea umbali mrefu wakati wa kutafuta huduma za matibabu.
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.