• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Rais Magufuli Ametahadharisha Kuhusu Matumizi Ya Dawa Za Kupambana Na Covid-19 Zinazotoka Nje

Posted on: February 4th, 2021

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amewataka watanzania kutumia dawa za asili katika mapambano dhidi ya Covid-19

Akizungumza Jijini Dodoma hii leo, amesisita juu ya matumizi ya miti shamba pia kujifukiza katika mapambano dhidi ya Covid-19.

Aidha amesema kuwa si kila dawa zinazotoka nje ya nchi ni nzuri kwa watanzania.

''Kuna dawa inaitwa Covidol, Bugiji zinafanya kazi kwasababu zimekua proved na mkemia mkuu, kamwe msifikirie kila dawa inayotoka nje ni kwa ajili yenu, ingekua hivyo Malaria ingeisha. Tujitambue tusitumike. Madawa haya yalipigwa vita na wakoloni kwasababu ya uchumi, ukiwa na mti wako hata kama unaponesha malaria utaambiwa ni wa kishamba''. Alisema Magufuli

Ameitaka pia Wizara ya Afya kutoa ushirikiano kwa wagunduzi wa dawa za asili.

''Mungu ametupatia hii mimea na ikabarikiwa, tuitumie, lakini tuitumie kwa kufuata masharti na utaalamu mzuri, kwa hiyo Taasisi yetu ya Wizara ya Afya inayosimamia dawa za asili, huu ni wakati wa kuyatumia kikamilifu. Na Wizara ya Afya isiwakatishe tamaa watu hawa, na madaktari wanatumia hizo hizo dawa, wao wanaenda wanakunywa, wanajifukiza wakija huku wanawatwanga masindano'' Alisema.

Ameongeza pia kuwa Watanzania kwa wakati wote wamemtanguliza Mungu na kuendelea kujilinda hivyo wanapaswa kuendelea kuchukua tahadhari.

Viongozi wa ngazi mbalimbali pia wameendelea kuhamasisha matumizi ya dawa asili katika mapambano ya Covid-19.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.