• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Serikali Wilayani Kalambo Yafanya Tathimini Ya Maafa Yaliyosababisha Nyumba 27 Kuezuliwa Na Upepo Mkali Katika Vijiji Vya Samazi Na Kisala..

Posted on: February 10th, 2022

Wananchi washio katika vijiji vya mwambao wa ziwa Tanganyika wilayani Kalambo mkoani Rukwa wametakiwa kujenga mazoea ya kupanda miti kuzunguka maeneo yao ikiwa ni pamoja na kujenga nyumba imara ambazo zitakuwa na uwezo wa kuhimili vishindo vya upepo mkali ambao umekuwa ukijitokeza na kuezua nyumba zao.

Wilaya ya Kalambo ina vijiji 9 vinavyo patikana katika mwambao wa ziwa Tanganyika ambapo baadhi ya vijiji hivyo vimekuwa vikikumbwa na maafa ya mafuliko ambayo yamekuwa yakitokana na mabadiliko ya tabia ya nchi hususani kujaa maji katika ziwa Tanganyika.

Hata hivyo Februari 6/2022 kulijitokeza maafa katika vijiji vya Kisala na Samazi katika mwambao wa ziwa hilo ,ambapo nyumba zipatazo 27 ziliezuliwa na upepo  mkali ambao ulijitokeza majira ya saa kumi na moja alfajiri na kusababisha familia 10 kukosa makazi huku kati ya hizo nyumba  10 zikiezuliwa  katika kijiji cha Kisala na nyumba 17  zikiezuliwa katika kijiji cha Samazi.

Wataalam wa Halmashauri ya Kalambo walifika eneo la tukio na kuangalia madhara yaliyotokana na maafa hayo, ikiwa ni pamoja na kuwafariji wananchi waliokuwa wameathirika na maafa hayo na kufanya tahimini ya kuezuliwa kwa nyumba hizo.

 Kwa mujibu wa taarifa ilotolewa na Idara ya Maendeleo ya jamii wilayani humo ilibainisha hasara iliojitokeza kutokana na maafa hayo ikiwemo uharibifu wa kiwanda cha samaki Samazi kuezuliwa na kupata hasara ya Tsh 15,000,000/=, huku nyumba zilizo athirika zikiwa na hasara ya Tsh 8,100,000/= na kufanya jumla ya Tsh 23,100,000/=.

Awali akiongea mara baada ya kuwatembelea waathirika wa maafa hayo kwenye vijiji hivyo, katibu tawala wilayani humo Frank Sichalwe, aliwataka wananchi kujenga mazoea ya kupanda miti ikiwa ni pamoja na kujenga nyumba imara kwa kutumia sementi  kama njia ya kuepukana na kadhia hiyo kutojirudia.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.