• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Serikali Yatoa Bilion 2.4 Kwa Ajili Ya Ujenzi Wa Miradi Ya Maji’’kalambo.

Posted on: October 8th, 2020


Serikali kupitia wizara ya maji nchini imetoa fedha kiasi cha shilingi Bilioni 2.4 kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maji itakayohudumia zaidi ya wananchi elfu ishirini (20000) katika vijiji 10 vya kata za matai na kilesha huku kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo ikiwaagiza viongozi wa serikali za vijiji kuwachukulia hatua kali za kisheria watu wanao lima kwenye vyanzo vya maji.

Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo Calorus Misungwi, alisema kukamilika kwa miradi hiyo kutasaidia wananchi kupata maji safi na salama kwa wakati wote na kuwataka wananchi kulinda  vyanzo hivyo kwa  kuacha kulima kwenye vyanzo vya maji.

‘’Baada ya miradi hii kukamilika wananchi watapata maji safi na salama kwa wakati wote kwa siku jirani na makazi yao.Aidha hakutakuwa na magonjwa yatokanayo na ukosefu wa maji safi na salama ,hivyo ni muhimu kila mmoja kulinda vyanzo vya maji na kuacha  kulima ndani ya mita sitini.’’Alisema Misungwi

Mkuu wa Takukuru wilayani humo Lupakisyo Mwakyolile, alisema wamekuwa wakifuatilia miradi hiyo kwa lengo la kuhakikisha   inakamilika kwa ubora unaotakiwa na kwa wakati ili kuwawezesha wananchi kupata  huduma ya maji safi na salama.

Meneja wa RUWASA wilayani humo Patrick Ndimbo, alisema uwepo wa miradi hiyo utawasadia wananchi kuondokana na adha ya kukatika kwa maji.

Alisema kiasi cha fedha shilingi za kitanzania million 402 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maji katika eneo la singiwe, milion 502,756,819 katika mradi  wa matai na billion 1,441,124,465 katika mradi wa kilesha.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.