• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Serikali Yatoa Milion 402 Kwa Ajili Ya Utekelezaji Wa Mradi Wa Maji Singiwe.

Posted on: October 5th, 2020

Serikali Yatoa Milion 402 Kwa Ajili Ya Utekelezaji Wa Mradi Wa Maji Singiwe.ikali katika lengo lake la kumtua mama ndoo kichwani, imetoa fedha kiasi cha shilingi milioni 402 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji ambayo inatarajiwa kuhudumia vijiji 11 vyenye zaidi ya wananchi elfu sita (6000) katika Halmashauri ya wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa na kuwaondolea adha wananchi kutembea umbali mrefu kufuata huduma hiyo katika mto Mzwalo.

Meneja wa RUWASA wilayani Kalambo Patrick Ndimbo, amesema mradi wa Singiwe ulianza kutekelezwa Julay 25/2020 na makadirio ya mradi ilikuwa ni shilingi 416,891,454 na kutakiwa kutekelezwa kwa muda wa miezi mitatu.

‘’Kabla ya ujenzi wa mradi huu hapakuwa na huduma ya uhakika ya maji, kwa kuwa mradi uliokuwepo ulikuwa wa miaka mingi na miundomdombinu yake ilikuwa chakavu sana. Pia kazi zilizofanyika katika mradi huu mpya ni sawa na asilimia 50% na mpaka sasa tumetumia fedha kiasi cha shilingi million 170,524,282 sawa na asilimia 41% ya makadirio ya mradi wote.

Mkuu wa TAKUKURU wilayani humo Lupakisyo Mwakyolile, amesema mradi huo wanaufuatilia kwa ukaribu lengo likiwa ni kuhakikisha unakamilika kwa  wakati na kuwawezesha wananchi kunufaika na huduma hiyo muhimu.

Akiongea mara baada ya kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo kutembelea na kukagua mradi huo, mkuu wa wilaya hiyo Calorus Misungwi, amesema ujenzi wa miradi hiyo itawawezesha kupata maji safi na salama kwa wakati wote na kuwasihi watumiaji wa maji kulinda miradi hiyo ili iweze kudumu kwa muda mrefu.

Ili kuwa na miradi endelevu ya RUWASA wilaya ya Kalambo  kwa kushirikiana  na ofisi ya Mkurugenzi mtendaji kupitia idara ya maji (CBWSO) inayojulikana kwa jina la Jumuhiya ya watumiaji maji Mzwalo ambayo itasimamia uendeshaji wa matengenezo ya mradi wa maji Singiwe pindi ukikamilika.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.