Naibu waziri wa mifugo na uvuvi abdallah ulega amewaeleza baadhi ya wafugaji wa kata ya kilangawana iliyopo bonde la ziwa rukwa katika halmashauri ya wilaya ya sumbawanga kuwa hatua hiyo inafuatia taarifa kuwa baadhi ya wafugaji wameondoa mifugo yao kutoka kwenye shamba hilo kutona na miundombinu duni ya malisho
baadhi ya wafugaji katika bonde la ziwa Rukwa kata ya kilangawana wilaya ya sumbawanga wameekielezea mazingira duni ya malisho kwenye shamba la mifugo la kalambo lenye ukubwa wa zaidi ya hekta elfu kumi lililotengwa kwa ajili ya malisho
wamesema licha ya serikali kupunguza ada ya malisho bado marekebisho ya miundombinu ya shamba hilo la malisho yanahitajika ili kukidhi lengo lililokusudiwa .
Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga dokta Halafany haule amesema serikali itaendelea kuweka mazingira mazuri ya ufugaji katika maeneo sahihi ili kulinda hifadhi ya pori la akiba la uwanda lililoko katika bonde la ziwa Rukwa
ziara ya siku nne ya naibu waziri wa mifugo na uvuvi mkoani Rukwa ina lengo la kujenga uhusiano mzuri kati ya makundi ya wakulima na wavuvi na pia kutoa hamasa ya kuepukana na vitendo vya uharibifu wa mazingira
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.