Shirika la Future and hope-Bethania homes – Sumbawanga limeanza rasmi mpango wa kutoa elimu ya utatuzi wa migogoro katika familia,haki na wajibu wa watoto ,makuzi na malezi ya mtoto katika wilaya ya kalambo mkoani Rukwa na huku lilikisistiza zaidi wazazi na walezi kuwalea watoto wao katika mazingira mazuri.
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.