Waziri wa Katiba wa Tanzania Augustine Mahiga amefariki dunia alfajiri ya leo mjini Dodoma.
Taarifa iliyotiwa saini na Rais John Magufuli inasema kuwa Mahiga aliugua ghafla akiwa nyumbani kwake mjini Dodoma alfajiri ya Ijumaa, Mei mosi na kukimbizwa hospitali ambako alitangazwa kufariki.
Augustine Philip Mahiga alizaliwa Agosti 28 mwaka 1945.
Alikuwa mwanadiplomasia wa muda mrefu wa Tanzania na waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo kutoka mwa 2015 hadi 2019.
Maelezo yanafuata.
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.