• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Tanzania Prison Yawapa Furaha Mashabiki Wao Ndani Ya Uwanja Wa Nelson Mandela

Posted on: October 22nd, 2020


Hatimae timu ya Tanzania prison imekata kiu ya mashabiki wao waliokuwa na hamu ya kuifunga timu ya Simba na hatimae kujiweka mahala pazuri katika msimamo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara katika mzunguko wa sita hali ilimpelekea mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo kutoa neno kwa wanarukwa.

Mh. Wangabo alisema kuwa amefurahi kwa timu hiyo ya Tanzania Prison kuufanya uwanja wa Nelson Mandela na timu hiyo ilisema kuwa ina deni kubwa kwa wanarukwa na hatimae imefanya juhudi ya kupata ushindi mwanana na kila mtu amefurahi,

“Furaha ya mchezo ni kushinda na ili uweze kupata mashabiki wengi ni lazima ushinde na kama ushindi wanakuja kufanya nini kiwanjani, kwahiyo huu ni mwanzo sasa uwanja utakuwa unafurika kama ulivyoona leo uwanja ulikuwa haujatapika vizuri kwasababu mechi zimegonganishwa, Yanga inacheza huku na Simba inacheza huku, watazamaji ikawa kama ulivyoona,” Alisema.

Kwa upande wake kocha msaidizi wa Tanzania Prison Shaaban Kazumba alisema kuwa tangu awali walikuwa wamewasoma simba hasa baada ya kuwafunga timu ya jeshi wenzao na hivyo kuwafanya wawe makini Zaidi wakati wakijiandaa na mechi hii ya leo.

“Unapocheza na timu ni lazima uwe na Discipline kwasababu kwanza unacheza na bingwa na unajua kuwa unacheza na timu yenye wachezaji mahiri na tumeshakutana nao siku nyingi, wamewafunga wenzetu wa jeshi JKT goli tatu katika uwanja wa Dodoma na hivyo tulichukua ile video na kuwasoma,” Alisisitiza.

Halikadhalika kocha wa Simba SC Sven Vandebroek alikubali kipigo hicho ndani ya Sumbawanga na kuahidi kujipanga katika mechi nyingine zijazo.

Goli la Tanzania Prison lilifungwa katika kipindi cha pili dakika ya 48 na mfungaji akiwa Samson Mbangula, goli lililowainua washabiki wa Tanzania Prison na kushindwa kukaa chini hadi mwisho wa mchezo Tanzania Prison 1 na Simba SC bila ya goli.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.