Wajumbe wa mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi CCM kata ya Matai wilayani Kalambo mkoani Rukwa wamempitisha Vitus Tenganamba kuwa mgombea wa udiwani wa kata hiyo baada ya kupata kura 89 huku mpinzania wake Richard Mikoma akipata kura 25.
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.