• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Wadau Watakiwa Kutoa Elimu Kwa Wananchi Juu Ya Umuhimu Wa Kupiga Kura.

Posted on: September 25th, 2019


Haki,usawa na wajibu vimetajwa kuwa nyenzo muhimu katika makuzi na mwendelezo wa amani kwa maendeleo ya Wilaya ya Kalambo, Tanzania na bara la Afrika kwa ujumla.

Akiongea katika kikao cha wadau wa uchaguzi kilicho wajumuisha viongozi, mila Taasisi na watu maarufu Wilayani Kalambo,Msimamizi wa uchaguzi Wilaya ya Kalambo Erick John Kayombo, amesema wadau hao wana wajibu wa kushirikiana na Serikali kuelimisha Wananchi juu ya umuhimu wa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Kitaifa Tarehe  24/11/2019 kwa ari na mshikamano kwa kuzingatia haki na usawa ili kuendeleza amani na umoja wa Kitaifa.

Wilaya ya Kalambo inayokadiliwa kuwa na jumla ya watu 271,393 wakiwemo wanaume 131,285 na wanawake 140,108 ambao wote wanatakiwa kuhamasishwa vilivyo ili washiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa tarehe 24/11/.2019,Ina jumla ya vitongoji 422,Vijiji 111 kata 23 na tarafa 4.ikiwemo Matai,Kasanga,Mwimbi ,Mambwe na Mwazye.

Msimamizi wa uchaguzi Wilaya ya Kalambo Erick John Kayombo, amesisitiza kuwa maendeleo hayawezi kuja kama Jamii haitakuwa na uongozi bora,

“Nadharia za kale za wanafalsafa kama vile Cara Max na John Luke zinamwelezea mwanadamu kuwa ni mnyama wa kisiasa anayehitaji kuongoza na kuongozwa ili pawepo na amani na kujihakikishia maendeleo ya kweli katika jamii.

‘’ tukiwa wadau wa uchaguzi Wilayani Kalambo tunawajibu wa kuihamasisha jamii kujitokeza kuandikishwa kwenye daftari la wapiga kura na kuchukua fomu za kugombea nyadhifa mbali mbali kam vile uenyekiti wa vijiji na vitongoji pamoja na ujumbe wa Serikali za vijiji ifikapo tarehe 29/10/2019.’’ Anafafanua Erick Kayombo.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.