• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Wafanyakazi Mkoani Rukwa Waiomba Serikali Kutafuta Ufumbuzi Wa Madai Yao.

Posted on: May 1st, 2021

Katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani nchini Tanzania Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema licha ya matamanio yake ya kuongeza mishahara lakini inamuwia vigumu kufanya hivyo kwa sasa

 "Ndugu zangu mimi ni mama na mama ni mlezi ila kuna msemo usemao kuwa masikini huwa anapenda mwanae apendeze lakini shida ni uwezo."

Rais Samia amesema ameshindwa kutimiza matamanio ya wafanyakazi mwaka huu kwa kuwa kasi ya uchumi imeshuka na kwa Tanzania uchumi umeshuka kutoka asilimia 6.9 mpaka asilimia 4.7 na hii inatokana na mlipuko wa janga la corona.

Lakini amehaidi kupunguza kodi na tozo mbalimbali za serikali kwa wafanyakazi. Aidha imemuwia vigumu kuongeza mshahara kwa kuwa ndio kwanza anaanza kazi lakini mwakani ataweza kutimiza dai hilo ambalo ni mhimu kwa wafanyakazi.

Kwa kutambua umuhimu wa wafanyakazi amesema wanaenda kupandisha vyeo vya wafanyakazi 85,000 mpaka 91,000 ambao wataigharimu serikali milioni, wanakusudia kulipa malimbikizo ya mishahara, kuboresha miundo ya kiutumishi na kuongeza ajira mpya takribani elfu arobaini.

Vilevile wataongeza jitihada za kudhibiti mfumko wa bei za bidhaa, hivyo anatumaini kwa jitihada hizo zitasaidia maisha ya watanzania.

Kwa sekta ya umma na sekta binafsi zinapandisha kima cha chini cha mshahara na kuagiza kuundwa mara moja kwa bodi ya mishahara itakayomwezesha kufahamu kiwango cha kuongeza katika mishahara ya watumishi wa umma na sekta binafsi.

Hata hivyo wafanyakazi mkoani Rukwa wameungana na watu wengine dunia kote katika kuadhimisha siku ya wafantakazi ambayo imefanyika kimkoa katika wilaya ya Kalambo.

Katika maadhimisho hayo shirikisho la vyama huru vya wafanyakazi Tanzania TUCTA  kupitia risala limebainisha kuwa linaamini katika ushirikiano wa pamoja  na mahusiano mema ndio ustawi wa taasisi zetu na nchi kwa ujumla na kwamba wote wanapaswa kuzingatia utawala wa sheria kwa kuzifuata ipasavyo ili itendeke kwa wanyakazi  na vyama vingine.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.