• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Wathibiti Ubora Wa Elimu Ndio Jicho La Kuboresha Elimu Bure Nchini

Posted on: January 10th, 2020


Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amewataka wathibiti ubora wa elimu nchini kufanya kazi kwa weledi kwakuwa serikali inathamini kazi zao na kuwategemea ili kuwa jicho la serikali katika kuonyesha mahala penye mapungufu ili serikali iweze kuyafanyia kazi mapungufu hayo.

Prof. Ndalichako amesema kuwa wakati mwIngine huwa inaumiza kuona vyombo vya habari ndivyo vinavyoibua mapungufu yaliyopo mashuleni wakati wathibiti hao wakiwepo na wakiwa wamekaa kimya na hivyo kuwataka kutokaa kimya pindi wanapoona kasoro zilizomo mashuleni.

“Inauma sana unapoona mambo ya elimu unayasoma kwenye vyombo vya habari, unakuta sijui shule hii haina choo, shule hii sijui inachangamoto Fulani unajiuliza wathibiti ubora wa eneo husika wako wapi, kwanini haya mambo hawayaoni ili tunapokuwa tunapanga bajeti zetu tuwe tunaelekeza ‘resource’ zetu pale ambapo pana uhitaji mkubwa, kwahiyo naomba sana wathibiti ubora tufanye kazi kwa ubunifu,” Alisema.

Aidha aliwataka wathibiti hao kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kuwa kila jambo linalohusu elimu linawahusu na kuwataka kutosita kutoa taarifa endapo kuna jambo lolote kwani dhamira ya serikali ya awamu ya tano ni kutoa elimu bila ya malipo lakini ni elimu iliyo bora kwani watoto wanapokwenda shule wakitoka wawe wamesheheni ujuzi na maarifa ili waweze kutoa mchango chanya kwa maendeleo ya nchi.

Prof. Ndalichako aliyasema hayo kabla ya kuzindua ofisi ya wathibiti ubora wa shule katika Wilaya ya Sumbawanga  na Kalambo ,majengo jengo ambayo yamejengwa kwa thamani ya shilingi billion 15.2 kwaajili ya ujenzi wa ofisi hizo 100 nchini.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.