• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Watoto 80,486 Kufikiwa Na Zoezi La Chanjo Ya Polio Wilayani Kalambo.

Posted on: September 13th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Lazaro komba amesema mkoa umeanzisha kampeni ya nyumba kwa nyumba ili kutoa chanjo kwa watoto 391,883 wenye umri chini ya miaka 8 kati yao wilaya ya Kalambo ikiwa ni watoto 80,486, Nkasi 109,514 na Sumbawanga 118,071 na kuwaagiza waganga wakuu kuhakikisha kila mtoto anapata chanjo kwa wakati.

Hatua hiyo inakuja baada ya mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi na moja mkazi wa Manispaa ya Sumbawanga kugundulika kuwa na virus vya ugonjwa wa polio baada ya kuonyesha dalili za kupooza kwa ghafla hali iliyopelekea mkoa kuanzisha kampeni ya nyumba kwa nyumba ili kutoa chanjo kwa watoto wote wenye umri chini ya miaka 8.

Akiongea kupitia kikao cha afya ya msingi PHC kwa niaba ya mkuu wa mkoa huo, mkuu wa wilaya ya Kalambo Lazaro Komba alisema kutokana  na uwepo wa mwingiliano mkubwa wa watu uliopo kati ya nchi zenye mlipuko wa ugonjwa huo ikiwemo Zambia , mkoa umeanziha kampeni maalumu  ya chanjo ambayo itafanyika kwa muda wa siku nne kuzunguka halmshauri  za mkoa wa Rukwa.

‘’ kamepeni hii itafanyika kuanzia tarehe 21-24/2023 katika mkoa wetu pamoja na mikoa sita inayopakana nchi zenye mlipuko wa polio ambayo ni kagera, Kigoma,Katavi , Songwe na Mbeya na kwamba lengo la kampeni hii ni kuwafikia watoto 391,883 waliozaliwa baada ya mwaka 2016 ili kuwakinga dhidi ya mambukizi ya ugionjwa wa polio.alisema Komba.

Kwa upande wake mganga mkuu wa mkoa wa Rukwa Dkt,Ibrahimu Kifaru  amesema licha ya kampeni hiyo miongoni mwa hatua walizochukua kama mkoa ni pamoja na kukaa vikao vya ujirani mwema  kati ya nchi za Tanzania na Zambia ili kutafuta njia ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa  huo na kwamba  ili kufanikisha zoezi hilo la mkoa  kwa kushirikiana na wizala ya afya pamoja na wadau wa chanjo wamefanya maandalizi  kwa ajili ya uwezeshaji wa zoezi hilo

Alisema kupitia zoezi hilo kutakuwa na jumla ya watoa huduma 1,038 ambapo kila timu itakuwa na watoa huduma watatu ambao watakuwa na kazi ya kutoa chanjo kupitia vituo mbalimbali na kwenye mikusanyiko.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.