• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Wazazi Waiomba Serikali Kutilia Mkazo Upimaji Ujauzito Kwa Wanafunzi.

Posted on: January 31st, 2020


BAADHI ya wazazi wilayani Kalambo mkoani Rukwa wameiomba serikali kuanzisha mpango maalumu wa kuwapima ujauzito wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kila baada ya miezi mitatu kama ilivyo katika maeneo mengine ya mkoa huo ili kuwabaini walioanza kujihusisha na vitendo vya kimahusiano ya kingono na wanaume katika umri mdogo.

Ombi hilo walilitoa kwa nyakati tofauti wakati wakizungumza na mwandishi wa habari hizi,muda mfupi baada ya kikao kazi kilichowakutanisha Katibu tawala wa wilaya hiyo Frank Sichalwe pamoja na viongozi wa serikali za vijiji, kata pamoja na maofisa elimu kata waliopo katika maeneo ya mwambao wa ziwa Tanganyika.

Mmoja wa wazazi hao aliyejitambulisha kwa jina la Getruda Siwale mkazi wa kijiji cha Kasanga, alisema kuwa imefika wakati kwa serikali kutumia njia hiyo kwani tatizo la mimba za utotoni pamoja na kwa wanafunzi limekuwa ni changamoto kubwa hivyo ni lazima zibuniwe mbinu zitakazo sababisha wanafunzi hao kuogopa kushiriki ngono.

Alisema kuwa nivema ukaanzishwa utaratibu wa kuwapima wanafunzi ujauzito kila baada ya miezi mitatu kwani hiyo itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza mimba za utotoni ambazo zimekua zikisababisha wanafunzi wengi kukatisha masomo.

Mmoja wa wanafunzi anayesoma katika shule ya sekondari Matai,(jina limehifadhiwa) aliunga mkono ombi hilo,alisema kuwa iwapo mpango huo ukianza wanafunzi wengi wa kike wataacha kufanya ngono kwani wataingiwa na hofu .

Kwaupande wake katibu tawala wa wilaya hiyo, Frank Sichalwe aliwaonya baadhi ya wazazi ambao wamekuwa wakishindwa kutoa ushirikiano pindi Watoto wao ambao ni wanafunzi wanapopata ujauzito .

Alisema kuwa kitendo hicho ni kinyume na sheria hivyo watambue kuwa huenda wakajikuta wanafikishwa mahakamani lengo ni kuhakikisha kuwa wilaya hiyo inafanikiwa katika kukabiliana na mimba kwa wanafunzi.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.