• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Wilayani Ya Kalambo Mkoani Rukwa Yaadhimisha Wiki Ya Sheria Kwa Kufanya Matembezi

Posted on: January 22nd, 2023

Wananchi Mkoani Rukwa Wameshauriwa kutatua migogoro Kwa Njia ya ustaarabu,amani , mazungumzo na Upatanishi ili kurudisha Mahusiano ya Kirafiki ambayo yatasaidia  Katika Upatikanaji wa haki bila kufungwa na masharti ya kisheria  ukilinganisha na njia ya uendeshaji wa Mashauri  kwa njia ya mahakama ambayo imekuwa ikichukua Muda Mrefu

Hayo yamesemwa  na mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Tano Mwela  Januari 22/2023 wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya sheria ambayo kwa ngazi ya wilaya yamefanyika kwa kufanya matembezi kutoka eneo la Santamaria hadi katika ofisi za Mahakama ya wilaya hiyo

Amesema utatuzi wa migogoro kwa njia ya usuluhishi ni takwa la katiba ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania ,ambapo utekelezaji wake ni muhimu ili kuendana na kasi  ya shughuli za ukuaji wa uchumi wa wananchi

‘’hivyo njia mbadala ya utatuzi wa migogoro inajumuisha utaratibu wa usuluhishi ,upatanishi,kurudisha mahusiano ya kirafiki na mazungumzo kufikia makubaliano ‘’ alisema Mwela

Alisema licha ya  hilo mahakama inawajibu wa kuongoza waadawa  katika kufikia makubaliano ,kuandaa wataalamu wa usuluhishi ikiwemo majaji na mahakimu kwa kuwaongezea ujuzi kwa njia ya mafunzo ,pamoja na kuweka mazingira rafiki ya usuluhishi na kutoa elimu kwa umma

Mapema akiongea  na hadhara ya wananchi katuka maeneo hayo  hakimu mfawidhi mkazi wa mahakama ya wilaya ya Kalambo, Nikison Tem , amesema  utatuzi wa migogoro kwa njia ya usuluhishi una faida nyingi ikiwemo  upatikanaji haki kwa wakati na kwa gharama nafuu

Hata hivyo maadhimisho ya uzinduzi wa wiki ya sheria  unafanyika katika maeneo mbalimbali ambapo kwa ngazi ya kanda umefanyika katika mahakama kuu kanda ya sumbawanga mkoani Rukwa  na kuzinduliwa na jaji mkuu kanda ya Sumbawanga Dastan Ndunguru,

Matangazo

  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Tanzania Bara December 18, 2020
  • Wanafunzi waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021-Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo December 18, 2020
  • TANGAZO LA KAZI May 25, 2022
  • Tangazo la Zabuni ya Wakala wa Usafi September 12, 2022
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Das Kalambo Akabidhi Pikipiki 7 Kwa Watendaji Wa Kata

    February 21, 2023
  • Das Kalambo Akabidhi Pikipiki 7 Kwa Watendaji Wa Kata

    February 21, 2023
  • DC Kalambo Asisitiza Wakandarasi Kutopewa Muda Wa Nyongeza Kukamilisha Miradi Ya Maji

    February 16, 2023
  • Dc Kalambo Asisitiza Viongozi Wa Serikali Kusimamia Kampeni Ya Upandaji Miti

    February 08, 2023
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.