Posted on: January 16th, 2026
Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa Dkt. Lazaro Komba amewataka Wananchi kujenga utamaduni wa kufanya utalii wa ndani ili kujifunza na kujionea mandhari yenye vivutio mbalimbali vilivyopo Wilayani ...
Posted on: January 15th, 2026
Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa kwa kushirikiana na wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) Imeandaa tamasha la kutangaza utalii wa ndani linalofahamika kama KALAMBO FOREST UTALII FEST...
Posted on: January 13th, 2026
Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa imepokea Trekta ndogo za mkono (PowerTillers) 11 kutoka Wizara ya Kilimo kupitia Tume ya Umwagiliaji ili kuongeza na kuimarisha Upatikanaji wa huduma za z...