Posted on: May 29th, 2020
TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
Kwa mujibu wa afisa utumishi na utawala wilayani humo ni kuwa marehemu amefariki wakati akipatiwa matibabumjini Sumbawanga.
TAARIFA ZAIDI ZITAFUTA………………………...
Posted on: May 28th, 2020
Wananchi wa kijiji cha Mbuluma wilayani Kalambo mkoani Rukwa wamemuua kwa kumchoma moto Amosi Kapufi miaka 22 mkazi wa kijiji cha Myunga baada ya kumchoma kisu mtoto wa dada yake aliefahamika...
Posted on: May 25th, 2020
Nchini Tanzania waumini wa madhehebu mbalimbali wamekamilisha siku tatu za maombi maalumu ya kumshukuru Mungu baada ya 'kupungua' kwa maambukizi ya covid19.
Hatua hii ni baada ya kauli ya rais wa T...