Posted on: May 23rd, 2020
Wananchi mkoani Rukwa wameanza siku tatu za maombi ya kumshukuru Mungu baada ya Rais wa jamhuri ya muhangano wa Tanzania John Pombe Magufuli kusema maambukizi ya Covid-19 nchini yamepungua.
...
Posted on: May 21st, 2020
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza kuwa vyuo vikuu vyote nchini vitafunguliwa kuanzia Juni 1, 2020.
Wanafunzi wa kidato cha sita nchini Tanzania ambao wanakaribia kufanya mitihani ya k...
Posted on: May 21st, 2020
Wajumbe wa kamati ya lishe endelevu Wilayani kalambo mkoani Rukwa wameazimia kuwachukulia hatua kali za kisheria wafanyabiashara ambao wamekuwa wakiuza chumvi isiyokuwa na madini joto baada y...