Posted on: June 22nd, 2020
Wanazuoni wa leo [Contemporary Philosophers], wanaunga mkono usemi wa mwenzao Thomas Maltus kwamba uwepo wa watu wengi katika jamii fulani ni uwepo wa vinywa vingi ya kulisha. Tanzania ya leo inayokad...
Posted on: June 18th, 2020
Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo imeanzisha mpango maalumu wa kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu na matumizi sahihi ya vyandarua katika kata zake zote 23 na vijiji vyote 111 vya wilaya h...
Posted on: June 16th, 2020
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza rasmi kufunguliwa kwa shule zote nchini humo, Juni 29.
Rais Magufuli pia ametangaza shughuli zote ambazo zilikuwa zimesitishwa kutoka na corona kurud...