Posted on: March 19th, 2020
KATIKA kuhakikisha wananchi wa Mkoa wa Rukwa wanafahamu juu ya namna ya kujikinga na Ugonjwa hatari wa Corona, Mkuu wa Mkoa huo Mh. Joachim Wangabo ameanza kuzunguka katika vijiji vya Bonde la ziwa Ru...
Posted on: March 18th, 2020
Mtu mmoja mkazi wa kijiji cha Ninga kata ya Katazi Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa amefariki dunia baada ya kupata ajari ya pikiki aliyokuwa ameipora katika eneo la Miangalua tarafa ya Laela.
...
Posted on: March 18th, 2020
Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ametangaza ongezeko la wagonjwa wa corona baada ya watu wengine wawili kuthibitishwa visiwani Zanzibar na Dar es Salaam. Wagonjwa wote ni raia wa kigeni.
Sik...